Ruka hadi maudhui
Miongozo yote

Bohari na dukani: hamisha na uombe

Toa bidhaa kutoka bohari kwenda dukani, omba stoo itoe bidhaa, na hamisha bidhaa kati ya matawi.

Bohari inatumika tu ikiwa duka lako lina bohari nyuma ya duka (angalia J4). Uhamisho kati ya matawi unahitaji matawi mawili au zaidi (Business na zaidi).

  1. 1. Fungua Bohari na Duka. Utaona bohari, dukani, na jumla kwa kila bidhaa.

  2. 2. "Toa kwenda dukani": chagua bidhaa, saizi au rangi, na idadi ya kutoa bohari kwenda dukani. Huwezi kutoa zaidi ya bohari inayo.

  3. 3. "Omba stoku kutoka bohari": mtu wa dukani anaomba bidhaa. Mtunza stoo anaarifiwa, na anaweza kutoa yote, sehemu, au kukataa kwa sababu.

  4. 4. Rudisha bohari: bidhaa zisizouzwa dukani zinaweza kurudishwa bohari kwa "Rudisha stoku bohari".

  5. 5. Uhamisho kati ya matawi: fungua Uhamisho, bonyeza kitufe cha kuongeza uhamisho, chagua tawi la kutoka na la kupokea, na bidhaa. Tawi la kupokea linathibitisha. Upungufu unarudi kwa tawi la kutuma.

Soma pia